From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 1
Yusufu akashtuka sana , moyo ukaanza kumdunda dunda , akili zikamduru ;
akawaza , “ Hawa watu siwajui nao ni wageni hapa ; kwa nini wananionyesha
bastola ? Mali zangu zinachukuliwa kwa nguvu , jamii yangu itapata taabu na
mimi ...

Page 9
Kamene aliwahi kuingia mara mbili mle nyumbani kuwapelekea hawa wageni
chakula na maji . Kila mara alipokuwa akiingia , wale wageni walinyamaza na
kumkodolea macho tu . Moyoni mwake alikuwa akishuku kwamba bila shaka ...

Page 10
Naam , ilikuwa sharti ajiokoe nafsi yake katika janga la kuolewa na mtu
mwingine yeyote ila Kioko tu — tena lazima afanye jambo lolote kwa haraka
kabisa maana nyumbani matayarisho yalikuwa yamechacha na wale wageni
wakiisha ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake