Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 12
... vizuri sana na baadaye akapelekwa skuli kusoma elimu ya Kizungu . Tokea udogoni mwake kijana huyu aliondokea kuwa na adabu na wingi wa heshima kwa kila mtu ; tabia ambayo ilitofautiana sana na zile za vijana wa hirimu yake . jambo hili ...

Page 17
... vizuri sana ; hebu niijaribu , " yule Bi mkongwe alisema kisha akaitwaa ile hirizi na kuifumbatia kwenye mkono wake wa kushoto na kuishikilia hodari kwa mkono wa kulia . Mafundi walipogeuka kumwangalia yule Bi mkongwe walimwona ...

Page 31
... vizuri na kuliweka katika mkoba ulioning'inia ubavuni mwangu . Nikaanza kufikiri jinsi nitakavyoweza kuzolewa hata kabla sijaenda mbali huku nikikumbuka kuwa usiku ule wote fisi walikuwa wakipita pita na mizoga yao kuelekea upande wa ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile