Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 11
... vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ; lakini juu ya jitihada kuu iliyofanywa na matabibu , moyo wa Kamene ulikuwa hafifu na punde si punde yeye pia akaaga dunia . Pole pole Kioko akaanza kuondoka pale hospitalini akiwa ...

Page 19
... vema na kutoka kwenda zangu . Wakati huo ulikuwa magharibi na nia yangu ilikuwa ni kurejea pale mahali mnamo saa nne za usiku kwa uchunguzi . Saa nne za usiku nikaanza safari yangu . Ulikuwa usiku wa giza na upepo wa bahari ulikuwa ...

Page 41
... vema na kumtakia heri . Alipofika Dar es Salaam , Ruth aliona ajabu kuona jiji lenyewe pamoja na mambo yalivyokuwa . Bahati mbaya hakupewa nyumba ya serikali wala hakupata nyumba ya kupangishwa maana alikuwa hamjui mtu yeyote . Kwa muda ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile