Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 13
Page 16
... usiku . Alipokuwa amelala , aligutushwa saa sita za usiku na sauti ya yule mwenyeji wake aliyekuwa akiweweseka kwa sauti kubwa akisema , " Mwana hamrithi babaye . ' Maneno haya yalimtia wasi wasi mkubwa Bwana Ali na alikaa kwa muda ...

Page 19
... usiku kwa uchunguzi . Saa nne za usiku nikaanza safari yangu . Ulikuwa usiku wa giza na upepo wa bahari ulikuwa unavuma kwa kasi . Nalipoikaribia ile nyumba , nalidhani kwamba yale mawimbi makubwa makubwa yalikuwa yakinguruma zaidi siku ...

Page 36
... Usiku huo hakulala hata kidogo bali usiku kucha aliwaza na kuwazua lakini hakuweza kupata njia ya kuepusha nuksi ile iliyokuwa ikimjia . Lakini basi , katika kufikiri sana aliweza kupata njia fulani ! Kulipopambazuka , aliondoka tena ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile