From inside the book
Results 1-3 of 13
Page 16
Alipokuwa amelala , aligutushwa saa sita za usiku na sauti ya yule mwenyeji
wake aliyekuwa akiweweseka kwa sauti kubwa akisema , “ Mwana hamrithi
babaye . ” Maneno haya yalimtia wasi wasi mkubwa Bwana Ali na alikaa kwa
muda ...

Page 19
Halafu nikaubana mlango vema na kutoka kwenda zangu . Wakati huo ulikuwa
magharibi na nia yangu ilikuwa ni kurejea pale mahali mnamo saa nne za usiku
kwa uchunguzi . Saa nne za usiku nikaanza safari yangu . Ulikuwa usiku wa giza
...

Page 36
Usiku huo hakulala hata kidogo bali usiku kucha aliwaza na kuwazua lakini
hakuweza kupata njia ya kuepusha nuksi ile iliyokuwa ikimjia . Lakini basi ,
katika kufikiri sana aliweza kupata njia fulani ! Kulipopambazuka , aliondoka tena
bila ya ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake