Vituko duniani |
From inside the book
Results 1-3 of 3
Page 19
Ijapokuwa nalikuwa na tochi, sikutaka kuiwasha. Naliingia ndani kwa giza,
nikipapasa papasa njia kwa mikono na miguu kuelekea kwenye mlango wa
nyumba. Nalipoufikia, ulikuwa wazi ! Nikatia mkono wangu mfukoni na kutoa
tochi yangu ...

Page 20
Sikuona kitu ila giza tu. Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia
kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza. Pale pale naliitoa tochi yangu
nikaiweka tayari mkononi; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa
mlango.

Page 21
Tena nikaingiwa na hamu ya kutaka kuwasha tochi yangu lakini nikajionya
nisifanye jambo hilo. Mara nikajitia ushujaa wa kutoa sauti na kuuliza, "Wewe ni
nani?" Kwa haraka nikajibiwa, "Na wewe ni nani?" Pasi na kusita sita nikajibu, "
Mimi ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 6 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jitokeze John Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kumwoa binti kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa Moyo wangu moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile