From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 19
Nikatia mkono wangu mfukoni na kutoa tochi yangu tayari . Moyo wangu ulikuwa umejaa wasi wasi — nani aliyeufungua ule mlango ; pengine mna adui ndani ! Lakini nikaendelea nikaingia ndani . Kwakuwa nyumba ilikuwa tupu , sikusitasita bali ...

Page 20
Pale pale naliitoa tochi yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya hayakuchukua zaidi ya dakika mbili , tatu hivi . Nalipokuwa hali hii , naliyasikia mawimbi jinsi yalivyokuwa ...

Page 35
Sina mengi , ila namaliza kwa kusema kwamba nyumba itakapokuwa tayari kutakuwa na karamu rasmi . Siku hiyo pia itakuwa ni siku ambayo sisi wawili mliotuteua tutaanza kuishi ndani ya nyumba hiyo mpya .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake