Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 19
... tayari . Moyo wangu ulikuwa umejaa wasi wasi - nani aliyeufungua ule mlango ; pengine mna adui ndani ! Lakini nikaendelea nikaingia ndani . Kwa- kuwa nyumba ilikuwa tupu , sikusitasita bali nalifululiza moja kwa moja mpaka pale ...

Page 20
... yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya hayakuchukua zaidi ya dakika mbili , tatu hivi . Nalipokuwa hali hii , naliyasikia mawimbi jinsi yalivyokuwa yakichafuka nje. 20.

Page 35
... tayari kuanza kushirikiana kuijenga ile nyumba . Asubuhi yake , wake kwa waume wakaanza majenzi ya nyumba chapuchapu . Baada ya siku tano nyumba madhubuti ikasimama tayari kuhamiwa . Ndipo Jinamizi akatangaza siku maalumu ya kuiandaa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake