Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 6
... tano hivi wale watu wakamtia nguvuni . Wayua alijiangusha chini lakini wale watu wakaanza kumburura kwa nguvu . Kwa kadiri alivyokuwa akijigaragaza chini na kupiga piga mateke 12 A huku akiwakwaruza wale watu kwa kucha za mikono 6 Ujana ...

Page 12
... tano hivi , Ahmed alisibiwa na maradhi thakili sana . Na ingawa ' Jitihada haiondoi kudura ' , kila dawa iliyojaribiwa kwa maradhi hayo haikuleta nafuu ya kutosha . Waganga hawa na wale walionekana nyumbani kwa tajiri huyo lakini ...

Page 18
... tano ulikuwa ndiyo msingi na wa sita ulikuwa mwembamba ambao ndiyo uliokuwa umeshikana na lile gofu . Mbele yangu kulikuwa na chumba kingine ambacho hakikuwa na mlango . Kila nalivyokuwa nikiingia ndivyo nyumba ilivyozidi kuwa tupu na ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile