From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 15
Mara lile jitu likatoa sauti yake ya kutisha likasema , " Mwana hamrithi babaye , " kisha likatoweka . Hiki kilikuwa kitendawili kikubwa kwa kijana kama yule . Roho yake ilikuwa ikimdunda ...
Mara lile jitu likatoa sauti yake ya kutisha likasema , " Mwana hamrithi babaye , " kisha likatoweka . Hiki kilikuwa kitendawili kikubwa kwa kijana kama yule . Roho yake ilikuwa ikimdunda ...
Page 16
Alipokuwa amelala , aligutushwa saa sita za usiku na sauti ya yule mwenyeji wake aliyekuwa akiweweseka kwa sauti kubwa akisema , " Mwana hamrithi babaye . " Maneno haya yalimtia wasi wasi mkubwa Bwana Ali na alikaa kwa muda mrefu sana ...

Page 21
Mara nikasikia sauti mfano wa mtu aliyekuwa anabisha mlango . Nikajikusanya na kushauriana na nafsi yangu kuwa , “ Nali- wahi kusikia kwamba mara nyingi hawa mashetani au majini hawaingii nyumbani ila kwa idhini lakini mimi si mwenye ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake