From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 17
Nalipopata habari hii nalijiambia nafsi yangu , “ Ile nafasi niliyo , “ kuwa nikiitafuta kuthibitisha ukweli wa maneno haya umefika . ” Nikafunga safari kwenda Shela ili kufanya uchunguzi . Nyumba yenyewe ilikuwa kando kabisa na nyumba ...

Page 26
Kisimba alipokwisha pumzika alianza kuzungumza na mfalme na kumweleza makusudio ya safari yake . Mfalme wa Wanyakyusa aliposikia madhumuni ya safari ya Mfalme Kisimba ni kumwoa binti wake , alikubali lakini alimwambia , " Joka Nondo ...

Page 38
Siku ya Jumamosi ilipowadia , Ben akafunga safari na kupakia basi mpaka mjini . Hakujua nyumba aliyokuwa akikaa Ruth kwa hivyo ilimbidi kumwuliza Seth , mwenye hoteli mmoja . Bwana Seth akamwonyesha Ben nyumbani kwa yule kipusa .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake