From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 11
Kamene akapokelewa vema kule hospitali na matibabu yakaanza saa ile ile ; lakini juu ya jitihada kuu iliyofanywa na matabibu , moyo wa Kamene ulikuwa hafifu na punde si punde yeye pia akaaga dunia . Pole pole Kioko akaanza kuondoka pale ...

Page 15
Punde si punde akaona moshi mwembamba kwa mbali sana ukitambaa na kuelekea pale alipokuwapo . Moshi ule ulipofika pale ulibadilika na kuwa pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa na wasifu uliofanána na mtu mmoja aliyemfahamu vizuri ...

Page 41
Punde si punde , Ruth naye akapata barua ya uhamisho wa kwenda Dar es Salaam . Kabla hajaondoka , alikwenda kwao na kuwaaga jamaa zake . Siku ya kuondoka walimsindikiza vema na kumtakia heri . Alipofika Dar es Salaam , Ruth aliona ajabu ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake