From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 10
Basi alipokuwa akiimimina pombe katika mikebe , aliujaza mkebe mmoja mpaka
juu na kutia chembe moja ndogo ndani yake . Huu mkebe uliokuwa umejaa na
uliokuwa wa kwanza ulikuwa ni wa yule bwana atakayekuwa mchumba wake .

Page 11
Pale pale akaanza kusikitika kwa kukumbuka kwamba amempoteza baba yake
maana ile pombe aliyokuwa amempa aliitia sumu . Huku akisita sita alianza
kumhadithia Kioko yote yale yaliyotukia kijijini mwao siku ile . Kamene akawa na
...

Page
Alipoingia katika baa moja kwa bahati akaitwa na ' Naizesheni ' mmoja ambaye
alisema angependa waende pwani kupunga hewa . Ruth akakubali kwa furaha .
Baadaye wakaondoka kwa gari huku wakiwa wamepakia machupa ya pombe .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake