From inside the book
Results 1-3 of 20
Page 14
Hakuamini macho yake wakati kwa ghafla kulianza kutandazuka na akaweza
kuona merikebu iliyokuwa ikielekea pale alipokuwa . Ilikuwa ni kwa bahati tu ;
wale waliokuwamo merikebuni wakamwona Ahmed . Akaokolewa . Baada ya ...

Page 17
Pale pale fundi mmoja akatoka mbio na kwenda kumwita mganga mmoja
aliyekuwa akisifika sana pale mjini . Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake
aliona kwamba ile hirizi ni lazima irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta
...

Page
Dereva akamweleza Ruth kuwa yeye alikaa shambani , isipokuwa wakati wa
shida tu ndipo ilimbidi kulala pale . Baada ya hayo mapenzi yakakolea hata Ruth
akashawishika kulala pale pale . Basi wakajitupa kienyeji juu ya lile godoro la ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake