Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 19
Page 8
... nyumbani kwao . Ghafla alipotupa macho ili aangalie kama dada yake anarudishwa aliona kwamba wale watu walikuwa wamekwisha tokomea naye . Akili ikaanza kumduru na akawa hana la kufanya ila kurudi nyumbani kwao haraka alivyoweza ...

Page 38
... nyumbani kwao . Kule nyumbani , ng'ombe na mbuzi walichukuliwa ovyo ovyo na ndugu zake kwa manufaa ya kila mtu binafsi . Binti huyo alipogundua jambo hilo , alikwenda nyumbani kwao na kuwakaripia ndugu zake akisema walikuwa wakitupa ...

Page 43
... nyumbani . Asubuhi , Ruth akapelekwa kazini kama kawaida . Kule kazini Ruth alifanya mpango wa ununuaji wa vyombo saa za jioni . Mhuni alipofika nyumbani akasema moyoni mwake , " Unaona basi , Mungu akupe , akupe nini - donda ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile