Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 10
... nyuma , kitambo si kirefu baba yake akaanza kuumwa na tumbo . Mzee akaanza kulalamika na kujibwaga kitandani . Mara jamii yake yote ikamzunguka pale kitandani miongoni mwao akiwa Kamene . Povu jingi likaanza kumtoka kinywani . Mzee ...

Page 17
... nyuma ya nyumba kilivunjwa na watu waliokuwa wakifanya kazi wakidhani kwamba hakikuwa na faida yoyote . Kikuta kile kilipovunjwa , mlionekana hirizi ya dhahabu ndani ya mapande ya udongo na saruji . Wale mafundi walishtuka sana na kwa ...

Page 37
... nyuma aliacha wasia kwamba bintiye asiolewe wala kuanza kazi kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha kumchagulia mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile