From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 1
Mali zangu zinachukuliwa kwa nguvu , jamii yangu itapata taabu na mimi
mwenyewe huenda nikapoteza maisha yangu au kama nikipona basi
itanichukua muda mrefu sana kudunduliza dunduliza hata nifikie kiwango cha
utajiri huu nilio nao ...

Page 8
huku akiwakwaruza wale watu kwa kucha za mikono yake ndivyo wale watu
walivyozidi kumshika kwa nguvu na kwenda naye . Maskini Wayua hakufaulu
katika kujiokoa ; akatokomea na wale watu bila kutaka . Kamene aliduwaa huku
...

Page 31
Baadaye nalipopata nguvu nikanyanyuka na kumshika sikio na kulipiga piga
kama ishara ya kumshukuru kwani sasa naliweza kusikia sauti ya mtiririko wa
maji yakinguruma kama mwendo wa hatua chache tu mbele yangu . 7 Matokeo ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake