From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 9
Basi magharibi ilipoingia , Kamene aliitwa mle nyumbani walimokuwa wale
wageni na akajulishwa kwa mtu mmoja ambaye ndiye aliyetakikana awe
mchumba wake . Alikuwa mfupi , wa makamo kidogo na naam , alikuwa ' Mwana
- mali ...

Page 11
Kamene alipopata fahamu kidogo na kuinua macho juu akamwona Kioko ndiye
aliyekuwa amempakata . Kamene akaanza kuzingatia yaliyotukia na kutafakari
makosa aliyoyafanya . Pale pale akaanza kusikitika kwa kukumbuka kwamba ...

Page 37
Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua
kwamba yeye ndiye atakaye watunza nduguze baada ya mama yake kufariki .
Binti huyo alizingatia masomo yake sawa hata akafaulu kwenda katika shule za
juu .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake