From inside the book
Results 1-3 of 16
Page 18
Sikuthubutu kuingia ndani . Kuta zake zilikuwa kuu kuu na mimea ya kila aina ilikuwa imeota juu yake . Macho yangu yaliiona kuwa mithili ya vizuka ambavyo kwa nguvu za upepo wa bahari vilibembea kwa fahari . Wakati huu nalifananisha ile ...

Page 19
Naliingia ndani kwa giza , nikipapasa papasa njia kwa mikono na miguu kuelekea kwenye mlango wa nyumba . Nalipoufikia , ulikuwa wazi ! Nikatia mkono wangu mfukoni na kutoa tochi yangu tayari . Moyo wangu ulikuwa umejaa wasi wasi — nani ...

Page 38
Ruth alipoipokea ile barua , aliifungua na kabla ya kumaliza kuisoma , alitupa macho mwisho wa barua ; alipoona jina la Ben , alichana chana hiyo barua na kuitupa ndani ya moto . Siku ya Jumamosi ilipowadia , Ben akafunga safari na ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake