From inside the book
Results 1-3 of 16
Page 16
Baada ya kuzungumza naye kwa muda mrefu na hata kumweleza habari ya mtoto wake Ahmed aliyepotea baharini Sadik alimshauri Bwana Ali kuhama mji ule na kufuatana naye hadi Mtongwe . Safari ya haraka ikafanywa na baada ya siku chache ...

Page 36
Aliporudi nyumbani , mpenziwe alimwuliza alikokuwa , naye alimjibu kwamba alikuwa amekwenda kujitafutia daza . Usiku huo hakulala hata kidogo bali usiku kucha aliwaza na kuwazua lakini hakuweza kupata njia ya kuepusha nuksi ile ...

Page 38
Kwa manufaa yake mwenyewe , Ruth akawachagua ng'ombe arobaini na kuwauza , naye akajipatia shilingi elfu kumi na sita . Akachukua shilingi elfu kumi akajinunulia motakaa ya aina ya Volkswagen na fedha iliyosalia akaitia kibindoni .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake