Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 16
Page 16
maafa yaliyomsibu sahibu wake na akamfuatia shambani . Baada ya kuzungumza naye kwa muda mrefu na hata kumweleza habari ya mtoto wake Ahmed aliyepotea baharini Sadik alimshauri Bwana Ali kuhama mji ule na kufuatana naye hadi Mtongwe ...

Page 36
... naye alimjibu kwamba alikuwa amekwenda kujitafutia daza . Usiku huo hakulala hata kidogo bali usiku kucha aliwaza na kuwazua lakini hakuweza kupata njia ya kuepusha nuksi ile iliyokuwa ikimjia . Lakini basi , katika kufikiri sana ...

Page 38
... naye akajipatia shilingi elfu kumi na sita . Akachukua shilingi elfu kumi akajinunulia motakaa ya aina ya Volkswagen na fedha iliyosalia akaitia kibindoni . Yule aliyesemekana kuwa ndiye atakayemwoa Ruth alikuwa akiitwa Ben ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake