From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 1
Yusufu alikuwa ofisini mwake ambako upande wa mbele kulikuwa kumepandwa
miwaridi iliyokuwa ikileta harufu nzuri sana ofisini mwake . Yusufu alikuwa mtu
maarufu sana mjini Korogwe kwa utajiri wake wa maduka na nyumba kadhaa .

Page 12
Tokea udogoni mwake kijana huyu aliondokea kuwa na adabu na wingi wa
heshima kwa kila mtu ; tabia ambayo ilitofautiana sana na zile za vijana wa
hirimu yake . Jambo hili liliwapendeza wazee na majirani wa pale pao .
Alipokuwa na ...

Page
Yule mhuni akashukuru moyoni mwake na kusema , “ Huyu dada anaonyesha
ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D . K . ( Donge Kubwa ) —
anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba dereva wote ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake