Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 1
... mwake ambako upande wa mbele kulikuwa kumepandwa miwaridi iliyokuwa ikileta harufu nzuri sana ofisini mwake . Yusufu alikuwa mtu maarufu sana mjini Korogwe kwa utajiri wake wa maduka na nyumba kadhaa . Ilikuwa siku ya Jumatano ya mwisho ...

Page 12
... mwake kijana huyu aliondokea kuwa na adabu na wingi wa heshima kwa kila mtu ; tabia ambayo ilitofautiana sana na zile za vijana wa hirimu yake . jambo hili liliwapendeza wazee na majirani wa pale pao . Alipokuwa na umri wa miaka kumi na ...

Page 43
taabu kesho . " Ruth akakubali . Yule mhuni akashukuru moyoni mwake na kusema , “ Huyu dada anaonyesha ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D.K. ( Donge Kubwa ) —anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile