Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 35
... mpenzi wake wa moyo aliyempenda muda wa siku nyingi . Basi alipoamka asubuhi alikuwa amejawa na huzuni kweli kweli . Mpenzi wake alitambua kwamba Jinamizi hakuwa na furaha kama ilikuwa kawaida yake na mara alianza kumdadisi lakini ...

Page 36
kumjulisha mpenzi wake alikokuwa akienda . Alipofika kwa mwaguzi aliambiwa , " Tahadhari maana uliyoota yatatokea katika siku chache zijazo bila shaka . " Aliporudi nyumbani , mpenziwe alimwuliza alikokuwa , naye alimjibu kwamba alikuwa ...

Page 37
... mpenzi akafariki . Huku nyuma aliacha wasia kwamba bintiye asiolewe wala kuanza kazi kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha kumchagulia mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile