From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 9
Maneno haya yalikuwa mithili ya sumu moyoni mwa Kamene lakini alikuwa hana
nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu
alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ...

Page 11
... lakini juu ya jitihada kuu iliyofanywa na matabibu , moyo wa Kamene ulikuwa
hafifu na punde si punde yeye pia akaaga dunia . Pole pole Kioko akaanza
kuondoka pale hospitalini akiwa amejawa na huzuni kuu moyoni huku akifikiri
moyoni ...

Page
Yule mhuni akashukuru moyoni mwake na kusema , “ Huyu dada anaonyesha
ana chochote kichwani mwake , hawa ndiyo wale D . K . ( Donge Kubwa ) —
anaweza kunisitiri huyu . " Walipofika sinema , Ruth akamwomba dereva wote ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani nzima pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake