Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 9
... moyoni mwa Kamene lakini alikuwa hana nafasi wala uwezo wa kushindana na mama yake ; maana ilikuwa kama jana tu alipokuwa akienda Nairobi akakutana na kijana mmoja mrembo sana , Kioko ; lakini sasa alikuwa na wasi wasi kwa kusikia ...

Page 11
... moyoni huku akifikiri moyoni mwake , " Asiye jua ibara yuna mashaka , hajui lenye madhara halijampata , kumpenda mtu yura , kusumbuka ! Ya nini Kamene kwenda kumwua baba yake na yule mchumba wake . Laiti angalikataa katu katu ...

Page 43
... moyoni mwake , “ Unaona basi , Mungu akupe , akupe nini - donda ! Nalichokuwa nikikitafuta si hiki ? " Akaingia ndani akakusanya kila kitu hata sanduku la Ruth akabana mlango , huyoo ! Akaenda zake . Akawaambia majirani wamweleze Ruth ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake