From inside the book
Results 1-3 of 12
Page 18
Moyo wangu ukataharaki na kuona kwamba ile mimea ilikuwa ikinikaribisha
kwenye mauti lakini nikapuuza wasi wasi huu na nikatupa macho mahali
palipokuwa na kidirisha kidogo . Nikaenda mahali hapo na kupanda juu ili
kuangalia ...

Page 19
Hapa nikakiweka kibusati changu huku moyo ukinidunda dunda na kuwaza , “
Leo ndiyo nitathibitisha fikira za mizimu ; majini ni nini ? Wako au hawako ? "
Halafu nikaubana mlango vema na kutoka kwenda zangu . Wakati huo ulikuwa ...

Page 35
Baada ya waadhi huo , watu wakatawanyika na kwenda majumbani mwao kila
mmoja akiwa na moyo wa furaha tayari kuanza kushirikiana kuijenga ile nyumba
. Asubuhi yake , wake kwa waume wakaanza majenzi ya nyumba chapuchapu .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake