From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 1
... nane u nusu mchana , alipokuwa akifanya kazi ya kuhesabu fedha na
kuandika andika vitabu vyake , motokaa moja ya aina ya Cortina GT ilisimama
mbele ya ofisini mwa Yusufu na mara watu wanne wakatoka taratibu kuelekea
mlangoni .

Page 15
Siku ya pili asubuhi gari nzuri sana ilisimama mlangoni pa yule kijana aliyekuwa
tarishi ! Hapo basi , akaelekea ofisini kwake na kuchukua madaraka yake mapya
. Alasiri moja tulivu kama ilivyokuwa ada yake , Ahmed alitoka nyumbani na ...

Page 20
Sikuweza kujizuia , nalitaharaki kuona msiba uliompata yule Bi mkongwe
maskini ! Kutahamaki nikasikia mlio wa mlango ukifunguliwa kwa kishindo .
Moyo ukanidunda , pumzi zikafupika na kwa haraka nikaangalia mlangoni .
Sikuona kitu ila ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake