From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 18
... na mara tu nikatoka gofuni kuelekea kwenye ua uliokuwa umeizunguka ile nyumba . Ulikuwa ua wa makuti na mlango wake wa mabati . Sikupata taabu ya kuingia ndani kwakuwa mlango wake ulifungwa kwa kamba na kuchomekwa kijiti mlangoni .

Page 19
Halafu nikaubana mlango vema na kutoka kwenda zangu . Wakati huo ulikuwa magharibi na nia yangu ilikuwa ni kurejea pale mahali mnamo saa nne za usiku kwa uchunguzi . Saa nne za usiku nikaanza safari yangu .

Page 20
Kutahamaki nikasikia mlio wa mlango ukifunguliwa kwa kishindo . Moyo ukanidunda , pumzi zikafupika na kwa haraka nikaangalia mlangoni . Sikuona kitu ila giza tu . Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia kwa wakati huu ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake