Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 18
... mlango wake wa mabati . Sikupata taabu ya kuingia ndani kwakuwa mlango wake ulifungwa kwa kamba na kuchomekwa kijiti mlangoni . Nikaufungua na nilipoangalia mbele yangu nikauona mlango wa nyuma uliokuwa na kufuli ya kubana . Bahati ...

Page 19
... mlango wa ua . Ijapokuwa nalikuwa na tochi , sikutaka kuiwasha . Naliingia ndani kwa giza , nikipapasa papasa njia kwa mikono na miguu kuelekea kwenye mlango wa nyumba . Nalipoufikia , ulikuwa wazi ! Nikatia mkono wangu mfukoni na kutoa ...

Page 20
... mlango ukifunguliwa kwa kishindo . Moyo ukanidunda , pumzi zikafupika na kwa haraka nikaa- ngalia mlangoni . Sikuona kitu ila giza tu . Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile