Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 15
... mkubwa ulimpata baba yake . Usiku mmoja wa mvua za masika palitokea upepo mkubwa sana . Nyumba nyingi sana zikaporomoka . Watu wengi wakakosa hata mahala pa kuweka ubavu na mmoja kati ya watu namna hiyo alikuwa ni Bwana Ali . Biashara ...

Page 16
... mkubwa Bwana Ali na alikaa kwa muda mrefu sana bila kurudiwa na usingizi . Lakini baada ya kukaa macho kwa muda mrefu , usingizi ulimvamia naye katika usingizi ule akaota ndoto moja ya ajabu mno kwani alijiona kama miaka kumi na mitano ...

Page 37
... mkubwa zaidi katika masomo yake , maana alikuwa akishikilia nambari ya kwanza katika masomo kadhaa . Mara baada ya kuhitimu darasa la kumi na mbili , baba yake mpenzi akafariki . Huku nyuma aliacha wasia kwamba bintiye asiolewe wala ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake