Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 12
Page 14
... mjini humo tu , Ahmed alijihisi kuwa hakuwa mgeni tena bali alianza kuzurura majiani akikumbuka hadithi ya mji huo kama alivyowahi kuhadithiwa na hayati babu yake . Kwa bahati njema , siku ile ile jioni alikutana na mtu ambaye ...

Page 15
... mjini kuuza . Hii ndiyo iliyokuwa njia pekee ya kujipatia riziki yake . Siku moja yule mganga wa Kisomali Sadik ambaye ndiye aliyekuwa mlezi wa Ahmed , mtoto wa Bwana Ali , alikuwa katika misafara yake ya kibiashara kwa wakati ule ...

Page 41
wakipita mjini , usukani ukamponyoka na gari ikagonga ukuta wa nyumba ya Bwana Maina . Gari hiyo ilipondeka pondeka vibaya hata haikuweza kutengenezwa kamwe . Wao pia waliumia vibaya sana hata ikawabidi kupelekwa hospitali kubwa ya ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake