Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 9
... mchumba yeyote yule anayem- penda akiwa maskini au tajiri , na kuolewa . Hivi sidhani kama ni jambo zuri mwanangu ; hasa katika kuhifadhi mila na desturi zetu . " Maneno haya yalikuwa mithili ya sumu moyoni mwa Kamene lakini alikuwa ...

Page 11
... ! Ya nini Kamene kwenda kumwua baba yake na yule mchumba wake . Laiti angalikataa katu katu , asingalilazimishwa— msichana huyu hakika alikuwa mpumbavu ! " 3 Mwana Hamrithi Babaye S. S. Suleiman Ahmed alikuwa mtoto 11.

Page 37
... mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa kuwa alikwisha kuwa mkubwa na mwenye hekima , wanachama wa chama cha Maendeleo ya Wanawake pale mtaani pao wakamchagua kushika uongozi wa chama chao ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile