Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 13
Page 1
... mbele kulikuwa kumepandwa miwaridi iliyokuwa ikileta harufu nzuri sana ofisini mwake . Yusufu alikuwa mtu maarufu sana mjini Korogwe kwa utajiri wake wa maduka na nyumba kadhaa . Ilikuwa siku ya Jumatano ya mwisho wa mwezi siku ambayo ...

Page 18
... mbele nikaona mfano wa ngazi iliyokuwa na madaraja yaliyoteremka chini . Nikaingiwa na hamu ya kwenda kuchungulia na nilipokwenda nikaona kwamba zilikuwa zikiongoza kwenye mahandaki makubwa . Sikuthubutu kuingia ndani . Kuta zake ...

Page 19
... mbele yangu . Huku nikikiangalia kile kikuta , nalianza kufikiri zile hadithi nyingi nalizowahi kusikia zihusuzo majini , mashetani na mizuka . Nalipokuwa nikiwaza hivi naliona kile kikuta kilikuwa kama mithili ya pazia la kuonyesha ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake