From inside the book
Results 1-3 of 18
Page 6
Iliyobaki ni kusikia kama mzaha kwamba Wayua ana mtoto ; mara akapata
mwingine na mwingine na mwingine tena ! Hata mwishowe akapoteza idadi ya
watoto wa dada yake ! Wayua alikuwa mkewe Kyalo wa nne . Kamene
alimtembelea ...

Page 15
Mara Ahmed alikubali . Uaminifu na tabia yake njema ndizo sifa ambazo kwazo
zilimfanya Ahmed kupatiwa kazi kama hiyo na huyu mwenyeji wake , Sadik . Siku
ya pili asubuhi gari nzuri sana ilisimama mlangoni pa yule kijana aliyekuwa ...

Page 21
Kwa mara nyingine tena nikahisi ile hatari iliyokuwa imenikabili na nikashikwa
na hofu ajabu . Mara nikasikia sauti mfano wa mtu aliyekuwa anabisha mlango .
Nikajikusanya na kushauriana na nafsi yangu kuwa , “ Naliwahi kusikia kwamba
...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake