Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 8
... mama yake siku moja , " Mwanangu Kamene , Kitonga ni mtu anayeheshimiwa sana . Ana mali na wake wengi . " Mama hakummalizia yaliyokuwamo moyoni mwake ingawa nia yake hasa angalifurahi kuona kwamba binti yake ameolewa na mtu wa heshima ...

Page 9
ijapokuwa utengano baina ya mama na bintiye si jambo rahisi na si la kufurahisha . Mama yake aliendelea kusema , " Wee mwanangu una bahati sana , una baba mwenye hekima , anayejiweza na pia anayeku- tafutia mtu mwenye nafasi akuoe maana ...

Page 37
... mama yake kufariki . Binti huyo alizingatia masomo yake sawa hata akafaulu kwenda katika shule za juu . Alipofika katika shulę la wasichana Tabora , alionyesha uhodari mkubwa zaidi katika masomo yake , maana alikuwa akishikilia nambari ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile