Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 10
Page 8
... mali na wake wengi . " Mama hakummalizia yaliyokuwamo moyoni mwake ingawa nia yake hasa angalifurahi kuona kwamba binti yake ameolewa na mtu wa heshima na mali nyingi kama huyo ijapokuwa utengano baina ya mama na bintiye si jambo rahisi 8.

Page 33
... hospitali yake kubwa na kwa minajili ya dawa zake hapatatokea kifo cha ugonjwa ila cha ajali tu . Mtoto wa pili atakuwa mkubwa wa wakwasi wote nchini . Atakuja kuwanyang'anya nusu ya mali zao na kuwagawia maskini ili mali hayo. 33.

Page 38
... mali kule nyumbani kwao . Kule nyumbani , ng'ombe na mbuzi walichukuliwa ovyo ovyo na ndugu zake kwa manufaa ya kila mtu binafsi . Binti huyo alipogundua jambo hilo , alikwenda nyumbani kwao na kuwakaripia ndugu zake akisema walikuwa ...

Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake