From inside the book
Results 1-3 of 15
Page 13
Mara hiyo hiyo wingu kubwa ukatanda mawinguni na hali ya hewa ikachafuka ,
mvua iliyoambatana na ngurumo ikaanza kutanda . Ahmed akajiona peke yake
kati ya bahari kuu iliyokuwa na giza hata macho yake yakashindwa kuona vema .

Page 19
Nalikaza macho ili nikione wakati wote maana kule ndiko kwenye vioja .
Nalijitahidi sana lakini macho ya mwanadamu yana mwisho wa kukodolewa na
pia ukomo wa kuona . Hata hivyo , baada ya kukaza macho sana nikakiona kile
kikuta !

Page 20
sikuyaondosha macho yangu kikutani na wala sikuhisi kuchoka . Punde kikaja
kisa cha yule Bi mkongwe katika fikara zangu . Sikuweza kujizuia , nalitaharaki
kuona msiba uliompata yule Bi mkongwe maskini ! Kutahamaki nikasikia mlio wa
...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake