From inside the book
Results 1-3 of 6
Page 15
Moshi ule ulipofika pale ulibadilika na kuwa pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa
na wasifu uliofanana na mtu mmoja aliyemfahamu vizuri huko kwao Pongwe .
Mara lile jitu likatoa sauti yake ya kutisha likasema , “ Mwana hamrithi babaye ...

Page 26
Basi Kisimba alipokwisha sema vile , akalichukua lile chembe la lulu na
kulifikicha mkononi mwake na mara watu walipotupa macho wakaliona lile joka
kuu , Nondo linajisogeza sogeza kuelekea barazani . Maelfu ya Wanyakyusa ...

Page 31
Ndio , lilikuwa lile ini nililo kula nusu yake . Nikaliokota na kulifunga vizuri na
kuliweka katika mkoba ulioning ' inia ubavuni mwangu . Nikaanza kufikiri jinsi
nitakavyoweza kuzolewa hata kabla sijaenda mbali huku nikikumbuka kuwa
usiku ule ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake