Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 21
Page 11
... kwenda kumwona yule msichana . Mara akaanza kumfanyia huduma ya kwanza huku akimpepeapepea na kumtuliza mpaka yule msichana akaanza kupumua . Kamene alipopata fahamu kidogo na kuinua macho juu akamwona Kioko ndiye aliyekuwa amempakata ...

Page 17
... kwenda kumwita mganga mmoja aliyekuwa akisifika sana pale mjini . Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake aliona kwamba ile hirizi ni lazima irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi aliwaamuru wale ...

Page 41
... kwenda Mwanza . Ruth aliposikia hivyo , alifadhaika sana , alimhoji sana John na kumsihi kwamba ingefaa na yeye pia aache kazi ili wafuatane wote mpaka Mwanza wakaoane huko . John alikunja uso na kumwambia , " Nasikitika nalikuwa ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile