From inside the book
Results 1-3 of 21
Page 11
Yule mwenye gari akatoka nje ili kwenda kumwona yule msichana . Mara akaanza kumfanyia huduma ya kwanza huku akimpepeapepea na kumtuliza mpaka yule msichana akaanza kupumua . Kamene alipopata fahamu kidogo na kuinua macho juu akamwona ...

Page 17
Mafundi walipogeuka kumwangalia yule Bi mkongwe walimwona ameanguka , hana fahamu , anagaagaa na povu lilikuwa likimtoka kinywani . Pale pale fundi mmoja akatoka mbio na kwenda kumwita mganga mmoja ...

Page 41
Siku moja John alimwambia Ruth kwamba alipata barua ya uhamisho kwenda Mwanza . Ruth aliposikia hivyo , alifadhaika sana , alimhoji sana John na kumsihi kwamba ingefaa na yeye pia aache kazi ili wafuatane wote mpaka Mwanza wakaoane huko ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake