From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 3
... kucheza karata au kupiga domo . Siku tatu zikapita bila kugundua ama kusikia tetesi lolote juu ya mauaji hayo . Makachero hao walijaribu kila njia kuwalewesha watu na kujiingiza katika kila kikundi cha ya kufaulu .

Page 6
Jitu lililokuwa likinuka na halikuacha kupiga chafya kila mara lilipokuwa likitumia ugolo na huku machozi yakimtiririka . Ili mradi Kyalo lilikuwa jitu chafu mno na Kamene alishindwa kabisa kuelewa kwa nini dada yake Wayua alikubali ...

Page 17
Yule mganga alipofika na kupiga ramli yake aliona kwamba ile hirizi ni lazima irudishwe pale pale penye kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi aliwaamuru wale mafundi kufanya hivyo na halafu yule Bi mkongwe akahamishwa pale ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake