From inside the book
Results 1-3 of 5
Page 12
Alipokuwa na umri wa miaka kumi na tano hivi , Ahmed alisibiwa na maradhi thakili sana . Na ingawa ' Jitihada haiondoi kudura ' , kila dawa iliyojaribiwa kwa maradhi hayo haikuleta nafuu ya kutosha . Waganga hawa na wale walionekana ...

Page 37
Kwa hiyo , baba yake alikuwa na nafasi hata ikambidi kuoa wake kumi na wawili . Pia hakukosa kumtimizia bintiye mahitaji yote yaliyohusu elimu maana alijua kwamba yeye ndiye atakaye watunza nduguze baada ya mama yake kufariki .

Page 38
Kwa manufaa yake mwenyewe , Ruth akawachagua ng'ombe arobaini na kuwauza , naye akajipatia shilingi elfu kumi na sita . Akachukua shilingi elfu kumi akajinunulia motakaa ya aina ya Volkswagen na fedha iliyosalia akaitia kibindoni .

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Ajuta Majuto ya Mjukuu | 2 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Copyright | |
5 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndipo ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake