From inside the book
Results 1-3 of 7
Page 4
Naye akaondoka kwa haraka na kuingia katika motokaa yake na kuwafuata bila wao kujua kwamba walikuwa wakifuatwa . Alipokuwa akiwafuata , Inspekta Kapera aliwaza kwamba ni lazima amweleze Koplo Makevo kwa simu ili amfuate pamoja na ...

Page 12
Sadik alikubali kuingia kilingeni na kuanza kazi yake . Ilikuwa miujiza kwa wazee waliokwisha kata tamaa kama mwana wao ataweza kupata nafuu kuona kwamba baada ya siku chache tu mwana wao kweli aliweza kupata nafuu !

Page 18
Sikuthubutu kuingia ndani . Kuta zake zilikuwa kuu kuu na mimea ya kila aina ilikuwa imeota juu yake . Macho yangu yaliiona kuwa mithili ya vizuka ambavyo kwa nguvu za upepo wa bahari vilibembea kwa fahari . Wakati huu nalifananisha ile ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kati kawaida kiasi kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kumwoa kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake