Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 11
Page 12
... kuanza kazi yake . Ilikuwa miujiza kwa wazee waliokwisha kata tamaa kama mwana wao ataweza kupata nafuu kuona kwamba baada ya siku chache tu mwana wao kweli aliweza kupata nafuu ! Lakini katika ramli yake mganga alimsihi sana Bwana Ali ...

Page 31
... kuanza kukimbia . Alikimbia mbio sana kuelekea upande ule ule nilioutazamia ; alikimbia zaidi mpaka nikasikia mapua yake yakipiga mbinja anapovuta pumzi . Sasa tulikwisha pita ile mbuga ya nyasi na mavumbi na tukaanza kuingia vichakani ...

Page 37
... kuanza kazi kabla ya kurekebisha mali yote kati ya ndugu zake ; pia alikuwa amekwisha kumchagulia mchumba wa kumwoa . Baada ya matanga kwisha , Ruth akawa mtawala wa pale nyumbani . Kwa kuwa alikwisha kuwa mkubwa na mwenye hekima ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile