Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 15
... kisha likatoweka . Hiki kilikuwa kitendawili kikubwa kwa kijana kama yule . Roho yake ilikuwa ikimdunda dunda sana ingawa alijikaza kiume na kushika njia kurudi zake nyumbani . Tangu hapo , maneno yale yalisi- kika masikioni mwake kila ...

Page 17
... kisha akaitwaa ile hirizi na kuifumbatia kwenye mkono wake wa kushoto na kuishikilia hodari kwa mkono wa kulia . Mafundi walipogeuka kumwangalia yule Bi mkongwe walimwona ameanguka , hana fahamu , anagaagaa na povu lilikuwa likimtoka ...

Page 31
... kisha nikaifunga simi yangu na kuacha mpini wake utokeze kidogo karibu na mkono wangu wa kuume . Nikatoka mle nyumbani , nikafunga mlango vizuri kisha nikajitupa chini kijanja na kuwa kama mtu aliyekufa zamani . Kujitupa tu , haikupita ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile