From inside the book
Results 1-3 of 8
Page 15
... pale ulibadilika na kuwa pandikizi la jitu jeupe sana lililokuwa na wasifu
uliofanana na mtu mmoja aliyemfahamu vizuri huko kwao Pongwe . Mara lile jitu
likatoa sauti yake ya kutisha likasema , “ Mwana hamrithi babaye , ” kisha
likatoweka .

Page 17
Tena ina nakshi na kung ' aa vizuri sana ; hebu niijaribu , ” yule Bi mkongwe
alisema kisha akaitwaa ile hirizi na kuifumbatia kwenye mkono wake wa kushoto
na kuishikilia hodari kwa mkono wa kulia . Mafundi walipogeuka kumwangalia
yule ...

Page 31
Nikatoka mle nyumbani , nikafunga mlango vizuri kisha nikajitupa chini kijanja na
kuwa kama mtu aliyekufa zamani . Kujitupa tu , haikupita dakika , akatokea fisi
mmoja mnono akaniuma mgongoni kama ilivyokuwa kawaida yao na kuanza ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake