Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 4
... kimya wakinywa pombe vile vile . Alipoziangalia nyuso zao akaona kuwa zilikuwa ni nyuso zilizokuwa zimejaa wasi wasi , macho yao yalikuwa yanakupia kupia saa zote nao walikuwa hawasemi kitu . İli mradi katika kikundi chao , furaha ...

Page 16
... kimya pekee na kuanza kuchangamana na watu kwa kila hali . Mwana akampokea babake bila kumkumbuka na kwa kuwa Bwana Ali alikuwa amechoka sana siku ile , alifululiza moja kwa moja kitandani mara tu baada ya kusali usiku . Alipokuwa ...

Page 36
... kimya tu akiyasikiliza mashtaka . Jinamizi akazidi kuendelea akisema , " Tukichungua vema katika ile sheria ya nchi yetu isemayo , ' Usiwe na husuda kwa mpenzi aliyehalalishwa kwa mwenzio ' , mtaona kwamba mtu akiwa na hatia ya sheria ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile