Vituko dunianiLongman, 1970 - 43 pages |
From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 17
... kile kikuta na kikuta lazima kijengwe tena . Basi aliwaamuru wale mafundi kufanya hivyo na halafu yule Bi mkongwe akahamishwa pale nyumbani na kwenda kutibiwa katika nyumba nyingine ya jirani . Basi ikawa tangu siku hiyo , majirani na ...

Page 19
... kile kikuta ! Sijui , pengine nalidhani tu nimekiona , lakini wakati huu ilikuwa ni dhahiri kwamba kilikuwa mbele yangu . Huku nikikiangalia kile kikuta , nalianza kufikiri zile hadithi nyingi nalizowahi kusikia zihusuzo majini ...

Page 20
... kile kikuta nacho pia kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza . Pale pale naliitoa tochi yangu nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa mlango . Yote haya hayakuchukua zaidi ya dakika mbili , tatu hivi ...

Other editions - View all
Common terms and phrases
Afrika ya Mashariki Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona heri akasema akasikia alianza aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye atakuwa baba bahati bali barazani barua bastola Bi mkongwe biashara chache chochote dada dereva fisi gari ghafla giza hakujali halafu haraka huku ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho jembamba Jinamizi jinsi jitokeze John joka Nondo Joyce Jumamosi Kamene kamwe kijana kikutani kile kikuta Kioko kisha Kisimba Korogwe kuanza kufikiri kuingia ndani kumweleza kwakuwa kwenda Kyalo lile Longman macho magaidi maiti makachero Makevo mali mara mbele Mbeya mbio mchumba mfalme wa Wanyakyusa mganga mikono mjini mkongwe mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini motokaa moyoni mwake mpenzi mpenziwe mradi msichana mtoto mtungi Mwana hamrithi babaye Mwanza Naam Nairobi naye Nondo nyumbani kwao P.O. Box pombe Pongwe punde radi Ruth alikuwa Sadik sauti shujaa starehe tano tatu tetesi tochi upelelezi usiku wageni wala wasi wasi Wayua wazee yoyote Yusufu zake zile