From inside the book
Results 1-3 of 4
Page 17
Siku moja nilisikia kwamba yuko bibi mkongwe mmoja kule Shela aliyepatikana
na maafa . Baada ya kudadisi dadisi nalielezwa kwamba nyumbani mwa yule
bibi mkongwe , kikuta kimoja kifupi cha nyuma ya nyumba kilivunjwa na watu ...

Page 19
Huku nikikiangalia kile kikuta , nalianza kufikiri zile hadithi nyingi nalizowahi
kusikia zihusuzo majini , mashetani na mizuka . Nalipokuwa nikiwaza hivi
naliona kile kikuta kilikuwa kama mithili ya pazia la kuonyesha sinema . Basi
hapo ikawa ...

Page 20
Sikuona kitu ila giza tu . Nikarejesha macho yangu kwenye kile kikuta nacho pia
kwa wakati huu kikawa kimefunikwa na giza . Pale pale naliitoa tochi yangu
nikaiweka tayari mkononi ; nikakaa kwa mguu mmoja nikitazama upande wa
mlango ...

What people are saying - Write a review
We haven't found any reviews in the usual places.
Contents
Mbio za Sakafuni | 1 |
Mwana Hamrithi Babaye | 12 |
Kisimba Shujaa | 23 |
Copyright | |
1 other sections not shown
Other editions - View all
Common terms and phrases
Ahmed aina ajabu akaanza akamjibu akaona akawa akiwa alianza alikuwa aliona Alipofika alipokuwa aliyekuwa ambaye askari asubuhi atakuwa baba bado bahati bali barazani barua biashara binti chache dada dereva fisi gari ghafla giza halafu haraka heri hofu huku huyo huyu ikawa iliyokuwa ingawa Inspekta Kapera jasho Jinamizi jinsi John joka Nondo kabla Kamene kamwe karibu kiasi kifo kijana kikuta kile kimya Kioko kisha Kisimba kuanza kuelekea kufikiri kuingia kumi kuona kupiga kusikia kwakuwa kwani kwenda lile Longman macho magaidi maisha mali mama mara mbele mbio mfalme mganga mikono mjini mkongwe mkubwa mlango mlangoni mle nyumbani Mnazimajini moyo moyoni mpenzi msichana mtoto mwake Mwana mwenye mwenyewe mwingine mwisho Naam Nairobi naye ndani ndiye nguvu Nondo nyuma nyumbani pale pombe Pongwe punde Ruth Sadik safari sauti tangu tayari upande upelelezi usiku wageni wala wangu Wanyakyusa wasi wasi wawili Wayua wazee wewe yale yoyote Yusufu zake